Sunday, July 18, 2010

Wajasiliamali wa kitaa fulani


Hakika hakuna kitongoji kinachokosa wajasiliamali,hivi ndivyo camera yetu ya keep it local ilivyomkuta mjasiliamali huyu akiwa anaendelea kufanya biashara ya ndizi katika maeneo ya bonyokwa kimara!!

No comments:

Post a Comment