Sunday, July 18, 2010

Ni majira ya saa mbili asubuhi !! Vipi kuhusu mchana??


hii ndio hali halisi ndani ya kijiji cha ugwenu nje kidogo ya kata ya bong`olankusweke katika mkoa wa manyara,mama mlezi wa familia kubwa ya vijana 8 wenye miraba minne na watoto 6 wakikadiliwa kuwa na umri kati ya miaka mitatu hadi kumi akitoa kitu cha BREAKFAST!! mbele ya eneo lake kabla ya kuendelea na shughuli nyingine za kujenga taifa.

No comments:

Post a Comment